BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Wanaharakati walaani kufungwa kwa mtandao wa X Tanzania
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeeleza kusikitishwa kwake na pia kimelaani uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali ya Tanzania wa kufunga mtandao wa kijamii wa X (zamani wa Twitter).
Je, ni kwanini Urusi inaboresha kwa siri uwezo wake wa nyuklia?
Kwa miaka kadhaa sasa, mamlaka za Urusi zimekuwa zikifanya kwa bidii na kwa siri uboreshaji mkubwa wa vifaa vyao vya nyuklia vya kijeshi, kulingana na gazeti la Ujerumani Spiegel
Afrika Kusini inamsaka mtuhumiwa aliyesimamia shughuli za uchimbaji haramu wa madini
Tulikwenda Lesotho ili kujua zaidi kuhusu mtu huyu na kusikia kutoka kwa wale walioathiriwa na vifo katika mgodi.
Vifahamu vyuo vikuu kumi bora duniani 2025
Vijue vyuo vikuu 10 bora duniani, kulingana na jarida la elimu kutoka Uingereza la Times Higher Education.
Mambo matano ambayo huenda hukuyajua kuhusu Hijja
Hijja ni ibada takatifu kwa waumini wa dini ya Kiislamu ambapo mamia ya maelfu ya waumini hukusanyika katika mji wa Makka huko Saudi Arabia kila mwaka.
'Kama waliteswa waje washtaki' Polisi Tanzania wawaambia wanaharakati
Muliro ameongeza pia madai yao ni ya kiuanaharakati na ni maoni yao.
Je, mshindi wa Ballon d'Or anachaguliwaje?
Ballon d'Or, tuzo ya mtu binafsi ya kifahari zaidi ya mpira wa miguu, hutolewa kila mwaka na jarida la Soka la Ufaransa kwa mchezaji anayeonekana kuwa bora zaidi ulimwenguni, lakini je, mshindi wa Ballon d'Or anachaguliwaje?
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Saudia inavutiwa na kiungo wa Spurs Son
Mshambuliaji wa Tottenham Son Heung-min analengwa na vilabu vya Saudi Arabia na Spurs wanaweza kuchagua kumnunua Mkorea Kusini mwenye umri wa miaka 32 huku wakitafuta pesa za uhamisho. (Telegraph)
Gwajima: Askofu mwenye utata anayepaza sauti dhidi ya utekaji Tanzania
Wakati wa janga la UVIKO-19, Gwajima alikuwa mstari wa mbele kuendesha kampeni hadharani ya kupinga chanjo dhidi ya ugonjwa huo. Miongoni mwa kauli zake nyingi, alinukuliwa akisema chanjo hizo si salama, ingawa tatizo hakuwa anatoa ushahidi wowote wa madai yake.
India na Pakistani: Nani mbabe wa kijeshi kati ya mataifa haya yanayozozana?
Pakistan inasema ilizidungua droni 25 za India zenye silaha (SiHAs) kote nchini kufuatia mashambulizi ya eneo la Kashmir linalotawaliwa na Pakistan .
'Janga halisi': Jinsi uharibifu wa bomu la kimkakati la Ukraine ulivyoitikisa Urusi
Ukraine kwa mara nyingine tena imeishangaza Urusi na ulimwengu kwa shambulio ambalo linaonekana kama limetoka moja kwa moja kwenye eneo la Hollywood.
Kwa nini mwandiko wa daktari ni mbaya? Wanasayansi wa neva wanaeleza
Mwandiko wetu kwa kiasi fulani huathiriwa na anatomia yetu na sifa za urithi tunazorithi kutoka kwa wazazi wetu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
'Nilichangisha $200,000 kusomea Harvard - sasa sijui itakuwaje'
Fatou Wurie amebakisha na miezi kadhaa kabla ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Harvard lakini juhudi zake zote sasa zinakabiliwa na tishio.
Ndoa tano za wasanii wakubwa duniani zilizofungwa kimya kimya
Harusi za faragha hazina shinikizo kubwa, kwani hakuna muda wa kuzingatia matarajio ya wengine, ili kukidhi masilahi ya mashabiki. Na hilo huzifanya harusi hizi kuwa na gharama ndogo pia.
'Usuhuba wa Kabila na M23' ni suluhu ya mzozo wa DRC au kivuli kipya cha vita vya muda mrefu?
Rais wa zamani DRC Joseph Kabila amekuwa mjini Goma mashariki mwa nchi hiyo, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23, hatua iliyoibua maswali kuhusu hatma ya suluhu ya muda mrefu ya mzozo unaendelea nchini humo.
Tunayofahamu kuhusu sheria ya ardhi ya Afrika Kusini inayomkera Trump
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko katikati ya dhoruba ya kisiasa baada ya kuidhinisha sheria ambayo inaipa serikali mamlaka ya kuchukua baadhi ya ardhi inayomilikiwa na watu binafsi bila kuwalipa fidia.
Kwa nini baadhi ya watoto hukata uhusiano na wazazi wao?
Kuna wakati wazazi wetu wanakuwa wazee na dhaifu. Hapo tunatakiwa, kuonyesha subira na rehema zaidi kwao.
Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Kuomba radhi kwa Marais Ruto na Museveni ni mwanzo mpya au danganya toto?
Katika matukio nadra sana kutokea, marais William Ruto wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda wameomba msamaha. Lakini nini hasa kilitokea?
Nyuma ya mitandao na giza la uhalifu, unyama na unyanyasaji
Matukio ya mauaji ya halaiki, unyanyasaji wa kingono kwa watoto, na matamshi ya chuki, aina hii ya maudhui inafurika kwenye barua pepe za waangalizi wa maudhui ya mtandaoni.
'Walitupiga na kutubaka barabarani hadharani'
Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya.
Wanaume wa aina gani wako hatarini zaidi kupata saratani ya tezi dume?
Saratani hii huwapata zaidi wanaume wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 75. Ni nadra sana kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka hamsini.
Wanaharakati maarufu wanaozikosesha usingizi nchi zao Afrika Mashariki
Askofu mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Benson Bagonza anatafsiri uanaharakati kama imani na ushawishi katika jambo fulani analosimamia mtu na kulipigania.
'Hakuna mahali salama' - Raia waliokwama kati ya waasi na wanajeshi
Mapambano ya kutaka kujitenga yanatokana na malalamiko ya muda mrefu ambayo yanaanzia wakati wa uhuru mwaka 1961, na kuundwa kwa taifa moja la Cameroon mwaka 1972 kutoka maeneo ya zamani ya Uingereza na Ufaransa.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 5 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Juni 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 4 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 4 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Zinazovuma zaidi
Mitandao ya Kijamii
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Kipenga cha uchaguzi mkuu 2025 kimepulizwa Tanzania
2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais wa Muungano na Zanzibar. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Madiwani katika kata zipatazo 4,000 nchi nzima.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
CCM yampitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025
Hii leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza mkutano huo kuwapitisha Rais Samia na Rais Mwinyi kama wagombea wa urais kutokana na maendelea walioyasimamia.