BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Tanzania, Uganda kama tumewakosea kwa namna yoyote tunaomba radhi- Rais Ruto
Kauli ya Ruto inakuja wiki moja baada ya Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya waliokwenda kushuhudia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.
Moja kwa moja, Makumi wajeruhiwa huku Wapalestina wakigombania msaada wa chakula Gaza - UN
Ofisi ya Haki za bibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema inaamini kuwa watu 47 walijeruhiwa Gaza wakati umati wa watu ulipofurika kituo cha kusambaza misaada kinachoendeshwa na kundi jipya lenye utata linaloungwa mkono na Marekani na Israel.
'Walitupiga na kutubaka barabarani hadharani'
Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya.
Fahamu vita vya nyuklia vilivyoitikisa dunia
Hadi kufikia sasa, silaha za nyuklia zimetumiwa mara moja tu katika mapigano ya kijeshi mwaka wa 1945 wakati Marekani ilipodondosha mabomu ya nyuklia huko Hiroshima na Nagasaki nchini Japani.
"Mwisho wa enzi"; Je, upi mustakabali wa Ronaldo?
Kufuatia chapisho la utata kwenye mitandao ya kijamii, inaonekana kwamba Cristiano Ronaldo anapanga kuondoka Al-Nasr ya Saudi Arabia.
Harufu za ajabu za anga za juu zinazowashangaza wanasayansi
Marina Barcenilla, anasema “sayari ya Jupiter inanuka kama bomu." Ndio sayari kubwa zaidi katika mfumo wa jua.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Al-Hilal wamtolea macho Bruno Fernandes
Al-Hilal wanafuatilia Bruno Fernandes wa Man Utd, Manchester City waingia kwenye mbio za Rayan Cherki, na Leroy Sane huenda akarejea EPL
Wanaume wa aina gani wako hatarini zaidi kupata saratani ya tezi dume?
Saratani hii huwapata zaidi wanaume wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 75. Ni nadra sana kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka hamsini.
Wanaharakati maarufu wanaozikosesha usingizi nchi zao Afrika Mashariki
Askofu mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Benson Bagonza anatafsiri uanaharakati kama imani na ushawishi katika jambo fulani analosimamia mtu na kulipigania.
Mlipuko wa jua ni nini na kwa nini unaweza kusababisha kukatika kwa umeme duniani?
Jua linashuhudia msururu wa shughuli ambazo zimesababisha mlipuko mkubwa zaidi mwaka huu uliorekodiwa na chombo cha uchunguzi cha Nasa Solar Dynamics Observatory.
'Hakuna mahali salama' - Raia waliokwama kati ya waasi na wanajeshi
Mapambano ya kutaka kujitenga yanatokana na malalamiko ya muda mrefu ambayo yanaanzia wakati wa uhuru mwaka 1961, na kuundwa kwa taifa moja la Cameroon mwaka 1972 kutoka maeneo ya zamani ya Uingereza na Ufaransa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni.
Kanisa Katoliki lina utajiri kiasi gani na unatoka wapi?
Kanisa Katoliki ni taasisi ya kidini ambayo, kwa nadharia, haina lengo la kukusanya mali au kupata faida, kulingana na Kanuni ya Sheria ya Canon, lakini je, inapataje mali zake?
Wabunge wa Ulaya walaani kukamatwa kwa Lissu, wataka aachiliwe
Wabunge wa Ulaya wameitaka Serikali ya Tanzania kumwachilia mara moja Lissu na bila masharti yoyote.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Mei 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Mei 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Mei 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Mei 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani